رَبِّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ أَنْ أَسْأَلَكَ مَا لَيْسَ لِي بِهِ عِلْمٌ ۖ وَإِلَّا تَغْفِرْ لِي وَتَرْحَمْنِي أَكُن مِّنَ الْخَاسِرِينَ.
"Rabbi innee a'oodhu bika an as'alaka maa laysa lee bihee 'ilm, wa illaa taghfir lee wa tarhamnee akum-minal-khaasireen."
Mola wangu Mlezi! Mimi ninajikinga Kwako nisije nikakuomba yale nisiyo na ilimu nayo; na kama Hutanisamehe na kunitendea rehema, nitakuwa miongoni mwa wenye kukhasirika.
My Lord, I seek refuge in You from asking that of which I have no knowledge; and unless You forgive me and have mercy upon me, I will be among the losers.
Inamfundisha mja adabu ya kuomba dua sahihi na kutegemea rehema ya Mwenyezi Mungu daima.