التَّحِيَّاتُ لِلَّهِ، وَالصَّلَوَاتُ وَالطَّيِّبَاتُ، السَّلاَمُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ اللَّهِ وَبَرَكَاتُهُ، السَّلاَمُ عَلَيْنَا وَعَلَى عِبَادِ اللَّهِ الصَّالِحِينَ، أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ، وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ.
"At-tahiyyaatu lillaahi was-salawaatu wat-tayyibaat, as-salaamu 'alayka ayyuhan-Nabiyyu wa rahmatullaahi wa barakaatuh, as-salaamu 'alaynaa wa 'alaa 'ibaadillaahis-saaliheen, ash-hadu an laa ilaaha illallaahu wa ash-hadu anna Muhammadan 'abduhu wa Rasooluh."
Heshima zote, na swala zote, na vizuri vyote ni vya Mwenyezi Mungu. Amani ishuke juu yako ewe Mtume, na rehema ya Mwenyezi Mungu na baraka Zake. Amani ishuke juu yetu na juu ya waja wema wa Mwenyezi Mungu. Nashuhudia kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu, na nashuhudia kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake.
All greetings, prayers, and good words are for Allah. Peace be upon you, O Prophet, and the mercy of Allah and His blessings...
Nguzo ya msingi ya swala inayosomwa wakati wa kukaa baada ya rakaa ya pili na ya mwisho.