سَجَدَ وَجْهِي لِلَّذِي خَلَقَهُ، وَشَقَّ سَمْعَهُ وَبَصَرَهُ، بِحَوْلِهِ وَقُوَّتِهِ، فَتَبَارَكَ اللَّهُ أَحْسَنُ الْخَالِقِينَ.
"Sajada wajhiya lilladhee khalaqahu, wa shaqqa sam'ahu wa basarahu, bihawlihee wa quwwatih, fatabaarakallaahu ahsanul-khaaliqeen."
Uso wangu umemsujudia Yule Aliyeuumba, na akaupasulia masikio yake na macho yake, kwa uwezo Wake na nguvu Zake; basi Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mbora wa waumbaji wote.
My face has prostrated to the One Who created it and brought forth its hearing and sight by His might and power; blessed is Allah, the best of creators.
Inasomwa unaposoma au kusikia aya yenye alama ya sijda katika Qur'ani Tukufu.