أُعِيذُكُمَا بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّةِ مِنْ كُلِّ شَيْطَانٍ وَهَامَّةٍ، وَمِنْ كُلِّ عَيْنٍ لَامَّةٍ.
"U'eedhukumaa bi-kalimaatillaahit-taammati min kulli shaytaaniw-wa haammah, wa min kulli 'aynil-laammah."
Ninawakinga ninyi wawili kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia kutokana na kila shetani na kila mdudu mwenye sumu, na kutokana na kila jicho baya lenye kudhuru.
I seek protection for you both in the perfect words of Allah from every devil and poisonous creature, and from every envious eye.
Dua aliyokuwa akiwasomea Nabii Ibrahim wanawe Ismail na Is-haq, na Mtume (s.a.w) aliwasomea wajukuu zake Al-Hasan na Al-Husain.