بِسْمِ اللَّهِ، اللَّهُمَّ جَنِّبْنَا الشَّيْطَانَ، وَجَنِّبِ الشَّيْطَانَ مَا رَزَقْتَنَا.
"Bismillaahi, Allaahumma jannibnash-shaytaana, wa jannibish-shaytaana maa razaqtanaa."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu; Ewe Mwenyezi Mungu, tuepushe na shetani na umuepushe shetani na kile utakachotupa (kizazi).
In the name of Allah; O Allah, keep Satan away from us, and keep Satan away from what You provide us [of children].
Mtume (s.a.w) alisema: Ikiwa watakadiriwa kupata mtoto kutokana na tendo hilo, shetani hatamdhuru kamwe.