لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ، وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ.
"Laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shareeka lah, lahul-mulku wa lahul-hamdu, wa Huwa 'alaa kulli shay'in Qadeer."
Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja pekee hana mshirika, ufalme wote ni Wake na sifa njema zote ni Zake, Naye juu ya kila kitu ni Mwenye uwezo mkubwa.
None has the right to be worshipped except Allah alone, without partner; to Him belongs all sovereignty and praise, and He has power over all things.
Humpa mja thawabu sawa na kuwaacha huru watumwa kumi, huandikiwa mema mia moja, hufutiwa madhambi mia moja, na inakuwa ngome dhidi ya shetani siku nzima.