اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لَا تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلَا نَوْمٌ
"Allaahu laa ilaaha illaa Huwal-Hayyul-Qayyoom, laa ta'khudhuhuu sinatuw-wa laa nawm."
Mwenyezi Mungu, hapana mungu ila Yeye, Aliye Hai daima, Msimamia kila kitu; kusinzia hakumshiki wala kulala.
Allah - there is no deity except Him, the Ever-Living, the Sustainer of [all] existence. Neither drowsiness overtakes Him nor sleep.
Aya kuu zaidi katika Qur'ani nzima; anayeisoma baada ya kila swala ya faradhi hakuna kinachomzuia kuingia Peponi isipokuwa kifo.