رَبِّ لَا تَذَرْنِي فَرْدًا وَأَنتَ خَيْرُ الْوَارِثِينَ
"Rabbi laa tadharnee fardan wa Anta khayrul-waaritheen."
Mola wangu Mlezi! Usiniache peke yangu (bila mrithi), na Wewe ndiye Mbora wa warithio wote.
My Lord, do not leave me alone [with no heir], while You are the best of inheritors.
Dua ya kupata kizazi chema; Allah alimpa mtoto Yahya licha ya uzee na mkewe kuwa mgumba.