أَنِّي مَسَّنِيَ الضُّرُّ وَأَنتَ أَرْحَمُ الرَّاحِمِينَ
"Annee massaniyad-durru wa Anta Arhamur-raahimeen."
Hakika mimi madhara yamenipata, na Wewe ndiye Mwingi wa rehema kuliko wote wanaorehemu.
Indeed, adversity has touched me, and You are the most merciful of the merciful.
Dua ya Nabii Ayyub (a.s) baada ya maradhi ya miaka mingi; Mwenyezi Mungu alimponya na kumrejeshea mara dufu.