رَبَّنَا وَآتِنَا مَا وَعَدتَّنَا عَلَىٰ رُسُلِكَ وَلَا تُخْزِنَا يَوْمَ الْقِيَامَةِ إِنَّكَ لَا تُخْلِفُ الْمِيعَادَ
"Rabbanaa wa aatinaa maa wa'attanaa 'alaa rusulika wa laa tukhzinaa yawmal-qiyaamah, innaka laa tukhliful-mee'aad."
Mola wetu Mlezi! Na utupe uliyotuahidi kwa vinywa vya Mitume wako, wala usitufedheheshe Siku ya Kiyama; hakika Wewe huvunji miadi.
Our Lord, and grant us what You promised us through Your messengers and do not disgrace us on the Day of Resurrection. Indeed, You do not fail in [Your] promise.
Aya ya mwisho ya dua za Ulul-Albab; Allah anajibu katika aya inayofuata: 'Mimi sipotezi amali ya mfanyao amali'.