Nyuma
Dua za Qur'ani na Rabbana · HISN AL-MUSLIM

Dua ya Qur'ani: Kuitikia Mwito wa Imani na Kuomba Msamaha

رَّبَّنَا إِنَّنَا سَمِعْنَا مُنَادِيًا يُنَادِي لِلْإِيمَان...

Dua za Qur'ani na Rabbana Soma mara 1

رَّبَّنَا إِنَّنَا سَمِعْنَا مُنَادِيًا يُنَادِي لِلْإِيمَانِ أَنْ آمِنُوا بِرَبِّكُمْ فَآمَنَّا رَبَّنَا فَاغْفِرْ لَنَا ذُنُوبَنَا وَكَفِّرْ عَنَّا سَيِّئَاتِنَا وَتَوَفَّنَا مَعَ الْأَبْرَارِ

"Rabbanaa innanaa sami'naa munaadiyay-yunaadee lil-eemaani an aaminoo bi-Rabbikum fa-aamannaa, Rabbanaa faghfir lanaa dhunoobanaa wa kaffir 'annaa sayyi'aatinaa wa tawaffanaa ma'al-abraar."

Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tumemsikia mwitaji anayeita kwenye Imani: Muaminini Mola wenu Mlezi; nasi tukaamini. Mola wetu Mlezi! Tughufirie madhambi yetu, na utufutie maovu yetu, na utufishe pamoja na watu wema.

Our Lord, indeed we have heard a caller calling to faith, [saying], 'Believe in your Lord,' and we have believed. Our Lord, so forgive us our sins and remove from us our misdeeds and cause us to die with the righteous.

KAUNTA YA KUSOMA DUA HII Lengo: Mara 1
Fadhila za Dua Hii:

Dua mashuhuri ya kuomba mwisho mwema (Husnul Khatima) pamoja na watenda mema.

Rejea na Chanzo

Kitabu / Chanzo:
Surat Ali 'Imran 3:193