رَبَّنَا آمَنَّا بِمَا أَنزَلْتَ وَاتَّبَعْنَا الرَّسُولَ فَاكْتُبْنَا مَعَ الشَّاهِدِينَ
"Rabbanaa aamannaa bimaa anzalta wattaba'nar-rasoola faktubnaa ma'ash-shaahideen."
Mola wetu Mlezi! Tumeyaamini uliyoyateremsha, na tumemfuata Mtume huyu, basi tuandike miongoni mwa wanaoshuhudia.
Our Lord, we have believed in what You revealed and have followed the messenger, so register us among the witnesses [to truth].
Dua ya Hawariyyun (wafuasi wema wa Nabii Isa) ya kuthibitisha imani na utiifu kwa Mtume.