رَبَّنَا إِنَّنَا آمَنَّا فَاغْفِرْ لَنَا ذُنُوبَنَا وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ
"Rabbanaa innanaa aamannaa faghfir lanaa dhunoobanaa wa qinaa 'adhaaban-naar."
Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tumeamini, basi tufutie madhambi yetu, na utukinge na adhabu ya Moto.
Our Lord, indeed we have believed, so forgive us our sins and protect us from the punishment of the Fire.
Hutajwa na waja wema wanaoswali usiku na kuomba msamaha wakati wa alfajiri.