اللَّهُمَّ لاَ سَهْلَ إِلاَّ مَا جَعَلْتَهُ سَهْلاً، وَأَنْتَ تَجْعَلُ الْحَزْنَ إِذَا شِئْتَ سَهْلاً.
"Allaahumma laa sahla illaa maa ja'altahoo sahlaa, wa Anta taj'alul-hazna idhaa shi'ta sahlaa."
Ewe Mwenyezi Mungu, hakuna jambo rahisi ila lile Ulilolifanya Wewe kuwa rahisi, na Wewe unalifanya jambo gumu kuwa jepesi Ukitaka.
O Allah, nothing is easy except what You make easy, and You make hardship easy if You will.
Inarahisisha mitihani, masomo, kazi ngumu na changamoto zote za maisha.