بِسْمِ اللَّهِ، تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّهِ، وَلَا حَوْلَ وَلَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللَّهِ.
"Bismillaahi, tawakkaltu 'alallaahi, wa laa hawla wa laa quwwata illaa billaah."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, nimetawakali kwa Mwenyezi Mungu, na hakuna uwezo wala nguvu ila kwa Mwenyezi Mungu.
In the name of Allah, I have placed my trust in Allah, and there is no power or strength except with Allah.
Mtu anapoisoma anapotoka nyumbani huambiwa na malaika: Umeongozwa, umetoshelezwa na umelindwa; na shetani hujitenga naye mbali.