اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ عَذَابِ جَهَنَّمَ، وَمِنْ عَذَابِ الْقَبْرِ، وَمِنْ فِتْنَةِ الْمَحْيَا وَالْمَمَاتِ، وَمِنْ شَرِّ فِتْنَةِ الْمَسِيحِ الدَّجَّالِ.
"Allaahumma innee a'oodhu bika min 'adhaabi jahannama, wa min 'adhaabil-qabr, wa min fitnatil-mahyaa wal-mamaat, wa min sharri fitnatil-Maseehid-Dajjaal."
Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi najikinga Kwako na adhabu ya Jahannamu, na adhabu ya kaburi, na fitna za uhai na mauti, na shari ya fitna ya Masih Dajjal.
O Allah, I seek refuge in You from the torment of Hell, from the torment of the grave, from the trials of life and death, and from the evil trial of the False Messiah (Dajjal).
Mtume (s.a.w) aliwaamuru Maswahaba kusoma dua hii kabla ya kutoa salamu mwisho wa kila swala.