التَّحِيَّاتُ لِلَّهِ وَالصَّلَوَاتُ وَالطَّيِّبَاتُ، السَّلَامُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ اللَّهِ وَبَرَكَاتُهُ، السَّلَامُ عَلَيْنَا وَعَلَى عِبَادِ اللَّهِ الصَّالِحِينَ، أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ.
"At-tahiyyaatu lillaahi was-salawaatu wat-tayyibaat, as-salaamu 'alayka ayyuhan-Nabiyyu wa rahmatullaahi wa barakaatuh, as-salaamu 'alaynaa wa 'alaa 'ibaadillaahis-saaliheen, ash-hadu allaa ilaaha illallaahu wa ash-hadu anna Muhammadan 'abduhoo wa Rasooluh."
Maamkizi yote, na swala zote, na mambo yote mazuri ni ya Mwenyezi Mungu. Amani iwe juu yako ewe Nabii, na rehema ya Mwenyezi Mungu na baraka Zake. Amani iwe juu yetu na juu ya waja wema wa Mwenyezi Mungu. Ninashuhudia kwamba hapana mola ila Mwenyezi Mungu na ninashuhudia kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake.
All greetings, prayers and pure words are for Allah. Peace be upon you, O Prophet, and the mercy of Allah and His blessings...
Tashahhud ya wajibu katika kila kikao cha swala.