Swala na Msikiti
Soma mara 3
MAANDISHI YA KIARABU
العربية بالتشكيل
سُبْحَانَ رَبِّيَ الْأَعْلَى.
MATAMSHI (NAMNA YA KUSOMA)
"Subhaana Rabbiyal-A'laa."
TAFSIRI YA KISWAHILI
Ametakasika Mola wangu Mlezi Aliye Juu kabisa.
ENGLISH TRANSLATION
Glory be to my Lord, the Most High.
Fadhila za Dua Hii:
Wakati wa kusujudu mja anakuwa karibu zaidi na Mola wake Mlezi; inafaa kuomba dua nyingi.