رَبَّنَا وَلَكَ الْحَمْدُ، حَمْدًا كَثِيرًا طَيِّبًا مُبَارَكًا فِيهِ.
"Rabbanaa wa lakal-hamdu, hamdan katheeran tayyibam-mubaarakan feeh."
Mola wetu Mlezi, sifa njema zote ni Zako, sifa nyingi nzuri zilizobarikiwa ndani yake.
Our Lord, to You belongs all praise, an abundant, good and blessed praise.
Swahaba alipoisoma katika swala, Mtume alisema zaidi ya malaika thelathini walikimbizana nani wa kwanza kuandika thawabu zake.