بِسْمِ اللَّهِ، وَالصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ، اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِكَ، اللَّهُمَّ اعْصِمْنِي مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ.
"Bismillaahi, was-salaatu was-salaamu 'alaa Rasoolillaah, Allaahumma innee as'aluka min fadlik, Allaahumma'simnee minash-shaytaanir-rajeem."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na rehema na amani ziwe juu ya Mtume wa Mwenyezi Mungu; Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba katika fadhila Zako; Ewe Mwenyezi Mungu, nikinge na shetani aliyetokomezwa mbali.
In the name of Allah, and peace and blessings be upon the Messenger of Allah. O Allah, I ask You from Your bounty; O Allah, protect me from Satan the outcast.
Sunnah ya kutoka msikitini kwa mguu wa kushoto ili kulindwa dhidi ya mitego ya kidunia.