بِسْمِ اللَّهِ، وَالصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ، اللَّهُمَّ افْتَحْ لِي أَبْوَابَ رَحْمَتِكَ.
"Bismillaahi, was-salaatu was-salaamu 'alaa Rasoolillaah, Allaahummaf-tah lee abwaaba rahmatik."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na rehema na amani ziwe juu ya Mtume wa Mwenyezi Mungu; Ewe Mwenyezi Mungu, nifungulie milango ya rehema Zako.
In the name of Allah, and prayers and peace be upon the Messenger of Allah. O Allah, open the gates of Your mercy for me.
Sunnah ya kuingia msikitini kwa mguu wa kulia ili kupata rehema za Mwenyezi Mungu.