سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ.
"Subhaanallaahi wa bi-hamdih."
Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zake.
Exalted is Allah and praise is due to Him.
Anayeisoma mara mia asubuhi, madhambi yake hufutwa hata yakiwa mengi kama povu la bahari, na hapatakuwa na mbora zaidi Siku ya Kiyama.