Inatafuta…

Hadithi 40 za An-Nawawi

الأربعون النووية

Mkusanyaji:
Imam Yahya an-Nawawi
Maisha
1233 - 1277 CE
631 - 676 H
Zilizomo hapa
42
Jumla rasmi
42

Hadithi 40 teule zinazobeba misingi mikuu ya Uislamu, imani na kanuni za maisha ya kiroho.

Hadithi 40 za An-Nawawi Na. 34

Wajibu wa Kubadilisha Maovu Katika Jamii

عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ: «مَنْ رَأَى مِنْكُمْ مُنْكَراً فَلْيُغَيِّرْهُ بِيَدِهِ، فَإِنْ لَمْ يَسْتَطِعْ فَبِلِسَانِهِ، فَإِنْ لَمْ يَسْتَطِعْ فَبِقَلْبِهِ، وَذَلِكَ أَضْعَفُ الإِيمَانِ».

Kutoka kwa Abu Sa'id al-Khudri (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nilimsikia Mjumbe wa Allah akisema: "Yeyote miongoni mwenu anayeona uovu au maasi, basi ayabadilishe kwa mkono wake (kwa mamlaka yake), asipoweza basi kwa ulimi wake (kwa kusema na kueleza), na asipoweza basi kwa moyo wake (kuchukia maovu hayo), na hiyo ndiyo daraja dhaifu zaidi ya imani."

On the authority of Abu Sa'id al-Khudri who said: I heard the Messenger of Allah say: "Whosoever of you sees an evil, let him change it with his hand; and if he is not able to do so, then with his tongue; and if he is not able to do so, then with his heart — and that is the weakest of faith."

Chanzo: Al-Arba'in An-Nawawiyyah

Kitabu 1 · Mlango 34