Inatafuta…

Hadithi 40 za An-Nawawi

الأربعون النووية

Mkusanyaji:
Imam Yahya an-Nawawi
Maisha
1233 - 1277 CE
631 - 676 H
Zilizomo hapa
42
Jumla rasmi
42

Hadithi 40 teule zinazobeba misingi mikuu ya Uislamu, imani na kanuni za maisha ya kiroho.

Hadithi 40 za An-Nawawi Na. 19

Mlinde Mwenyezi Mungu Naye Atakulinda

عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا قَالَ: كُنْتُ خَلْفَ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم يَوْماً فَقَالَ: «يَا غُلاَمُ، إِنِّي أُعَلِّمُكَ كَلِمَاتٍ: احْفَظِ اللَّهَ يَحْفَظْكَ، احْفَظِ اللَّهَ تَجِدْهُ تُجَاهَكَ، إِذَا سَأَلْتَ فَاسْأَلِ اللَّهَ، وَإِذَا اسْتَعَنْتَ فَاسْتَعِنْ بِاللَّهِ، وَاعْلَمْ أَنَّ الأُمَّةَ لَوِ اجْتَمَعَتْ عَلَى أَنْ يَنْفَعُوكَ بِشَيْءٍ لَمْ يَنْفَعُوكَ إِلاَّ بِشَيْءٍ قَدْ كَتَبَهُ اللَّهُ لَكَ... رُفِعَتِ الأَقْلاَمُ وَجَفَّتِ الصُّحُفُ».

Kutoka kwa Abdullah bin Abbas (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: Nilikuwa nyuma ya Mtume siku moja akaniambia: "Ewe kijana! Mimi nakufundisha maneno machache: Mlinde Allah (hifadhi maamrisho Yake) Naye Atakulinda, mlinde Allah Utamkuta mbele yako. Ukiomba basi muombe Allah, na ukitaka msaada basi taka msaada kwa Allah. Na ujue kwamba umma mzima ungalikusanyika ili kukunufaisha kwa jambo, hawatokunufaisha ila kwa kile alichokwisha kukuandikia Allah... Kalamu zimeinuliwa na kurasa zimekauka."

On the authority of 'Abdullah bin 'Abbas who said: One day I was behind the Prophet and he said to me: "O young man, I shall teach you some words: Be mindful of Allah, and Allah will protect you. Be mindful of Allah, and you will find Him in front of you. If you ask, ask of Allah; if you seek help, seek help of Allah. Know that if the whole nation were to gather together to benefit you with anything, it would benefit you only with something that Allah had already prescribed for you... The pens have been lifted and the pages have dried."

Chanzo: Al-Arba'in An-Nawawiyyah

Kitabu 1 · Mlango 19