Kumpendelea Nduguyo Unachojipendelea Mwenyewe
عَنْ أَبِي حَمْزَةَ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ خَادِمِ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ: «لاَ يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يُحِبَّ لأَخِيهِ مَا يُحِبُّ لِنَفْسِهِ».
Kutoka kwa Abu Hamzah Anas bin Malik (Radhi za Allah ziwe juu yake) mtumishi wa Mjumbe wa Allah, kutoka kwa Mtume amesema: "Hatoamini (kwa ukamilifu) mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake kile anachojipendelea yeye mwenyewe."
On the authority of Abu Hamzah Anas bin Malik (may Allah be pleased with him) servant of the Messenger of Allah, that the Prophet said: "None of you truly believes until he loves for his brother what he loves for himself."
Chanzo: Al-Arba'in An-Nawawiyyah