Kuacha Yasiyomhusu Mtu
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم: «مِنْ حُسْنِ إِسْلاَمِ الْمَرْءِ تَرْكُهُ مَا لاَ يَعْنِيهِ».
Kutoka kwa Abu Hurairah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Mjumbe wa Allah amesema: "Miongoni mwa uzuri wa Uislamu wa mtu ni kuacha yale yasiyomhusu."
On the authority of Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) who said: The Messenger of Allah said: "Part of the perfection of one's Islam is his leaving that which does not concern him."
Chanzo: Al-Arba'in An-Nawawiyyah