Kusalimisha Matamanio kwa Muongozo wa Mtume
عَنْ أَبِي مُحَمَّدٍ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عَمْرِو بْنِ الْعَاصِ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم: «لاَ يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يَكُونَ هَوَاهُ تَبَعاً لِمَا جِئْتُ بِهِ».
Kutoka kwa Abdullah bin Amr bin al-Aas (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: Mjumbe wa Allah amesema: "Hatoamini (kwa ukamilifu) mmoja wenu mpaka matamanio na matakwa ya nafsi yake yawe yanafuata yale niliyokuja nayo."
On the authority of Abu Muhammad 'Abdullah bin 'Amr bin al-'Aas who said: The Messenger of Allah said: "None of you truly believes until his desires are subservient to that which I have brought."
Chanzo: Al-Arba'in An-Nawawiyyah