Inatafuta…

Sahih al-Bukhari

صحيح البخاري

Mkusanyaji:
Imam Muhammad al-Bukhari
Maisha
810 - 870 CE
194 - 256 H
Zilizomo hapa
7,732
Jumla rasmi
7,563

Kitabu sahihi zaidi baada ya Qur'ani, chenye hadithi zilizothibitika kwa masharti magumu ya isnad.

Sahih al-Bukhari Na. 10

Hadithi ya 4: Imani

عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عَمْرٍو رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «المُسْلِمُ مَنْ سَلِمَ المُسْلِمُونَ مِنْ لِسَانِهِ وَيَدِهِ، وَالمُهَاجِرُ مَنْ هَجَرَ مَا نَهَى اللَّهُ عَنْهُ».

Imepokelewa kutoka kwa Abdillah Bin Amri -Radhi za Allah ziwe juu yao wawili- kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-amesema: "Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkono wake, na mhamaji ni yule mwenye kuyahama yale aliyoyakataza Mwenyezi Mungu".

‘Abdullah ibn ‘Amr (may Allah be pleased with him and his father) reported that the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "A Muslim is the one from whose tongue and hand Muslims are safe, and a Muhājir (emigrant) is the one who abandons what Allah has forbidden."

Chanzo: HadeethEnc.com

Kitabu 2 · Mlango 4
Sahih al-Bukhari Na. 11

Hadithi ya 4: Imani

حَدَّثَنَا سَعِيدُ بْنُ يَحْيَى بْنِ سَعِيدٍ الْقُرَشِيِّ، قَالَ حَدَّثَنَا أَبِي قَالَ، حَدَّثَنَا أَبُو بُرْدَةَ بْنُ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ أَبِي بُرْدَةَ، عَنْ أَبِي بُرْدَةَ، عَنْ أَبِي مُوسَى ـ رضى الله عنه ـ قَالَ قَالُوا يَا رَسُولَ اللَّهِ أَىُّ الإِسْلاَمِ أَفْضَلُ قَالَ " مَنْ سَلِمَ الْمُسْلِمُونَ مِنْ لِسَانِهِ وَيَدِهِ ".

Imepokewa katika Sahih al-Bukhari (Mlango wa Imani), hadithi namba 11. Mafundisho haya ya Mtume Muhammad ﷺ yanamuongoza muumini katika kufuata Sunnah safi, kushikamana na ukweli, na kukuza uchamungu na maadili mema ya Kiislamu.

Narrated in Sahih al-Bukhari (Book of Belief), Hadith #11. The Prophet ﷺ teaches believers righteous conduct, upholding the Sunnah, and pursuing Islamic ethics and piety in daily life.

Chanzo: Sunnah.com / Sahih al-Bukhari

Kitabu 2 · Mlango 4