Rudi kwenye hadith
RAMANI YA MAARIFA

Sahih Muslim · Na. 2985

Mimi nimetosheka (sihitaji) washirika kushirikishwa nao, yeyote mwenye kufanya jambo akashirikisha ndani yake mwingine pamoja nami, nitamuacha na ushirika wake

Kitabu Mlango Mada Hadith inayofanana

Mada zinazohusiana

Tawhid na Misingi ya ImaniKupendana kwa Ajili ya Allah na UduguSadaka, Huruma na Wema

Hadith zinazofanana

Sahih Muslim · Na. 2985 100%

Imepolelewa Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: amesema: Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Amesema Allah a...

aliyetakasikakushirikishwaakashirikishaimepolelewanimetoshekanitamuacha

Linganisha na hii
Sahih al-Bukhari · Na. HE-65043 26%

Imepolelewa Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: amesema: Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Yeyote atakayen...

imepolelewahurairaradhi

Linganisha na hii
Sahih Muslim · Na. 4 26%

Imepolelewa Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: amesema: Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Yeyote atakayen...

imepolelewahurairaradhi

Linganisha na hii
Sahih al-Bukhari · Na. 1145 22%

Imepokewa kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Anateremk...

aliyetakasikakutukukahurairaradhi

Linganisha na hii
Sahih Muslim · Na. 758 22%

Imepokewa kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Anateremk...

aliyetakasikakutukukahurairaradhi

Linganisha na hii
Sahih al-Bukhari · Na. HE-3636 20%

Kutoka kwa Abuu Huraira -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume rehema na amani ziwe juu yake: "Anasema Mwenyezi Mung...

aliyetakasikakutukukahurairaradhi

Linganisha na hii

Ufanano huu unategemea maneno yanayoshirikiana tu. Si hukumu ya kielimu kuhusu maana au daraja la hadith.

Isnad na wasifu wa wapokezi

Data ya wapokezi (isnad) bado haijaongezwa kwenye Bayt Ul Hadith. Itaonekana hapa pindi itakapopatikana kutoka chanzo kinachoaminika, kwa marejeo kamili.