Utafiti na Ramani ya Maarifa
UTAFITI

Linganisha Hadith

Ufanano wa maneno: 46%

Ufanano huu unategemea maneno yanayoshirikiana tu. Si hukumu ya kielimu kuhusu maana au daraja la hadith.

Maneno yanayoshirikiana

isipokuwamuislamualiyeoamataturadhimamboumoja

Sahih Muslim · Na. 1676

Hukumu za Swala na Tohara

عَنِ ابنِ مَسعُودٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «لَا يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ إِلَّا بِإِحْدَى ثَلَاثٍ: الثَّيِّبُ الزَّانِي، وَالنَّفْسُ بِالنَّفْسِ، وَالتَّارِكُ لِدِينِهِ المُفَارِقُ لِلْجَمَاعَةِ».

Kutoka kwa bin Mas'udi radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume rehema na amani ziwe juu yake-: "Si halali damu ya muislamu isipokuwa kwa moja kati ya mambo matatu: Mzinifu aliyeoa, na nafsi kwa nafsi, na mwenye kuacha dini yake mwenye kusambaratisha umoja".

Daraja: Sahihi

Hadithi 40 za An-Nawawi · Na. 14

Utakatifu wa Damu ya Muislamu

عَنِ ابْنِ مَسْعُودٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم: «لاَ يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ يَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَأَنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلاَّ بِإِحْدَى ثَلاَثٍ: الثَّيِّبُ الزَّانِي، وَالنَّفْسُ بِالنَّفْسِ، وَالتَّارِكُ لِدِينِهِ الْمُفَارِقُ لِلْجَمَاعَةِ».

Kutoka kwa Ibn Mas'ud (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Mjumbe wa Allah amesema: "Haifai kumwaga damu ya mtu Muislamu anayeshuhudia kuwa hapana mola ila Allah na mimi ni Mjumbe wa Allah isipokuwa kwa moja ya mambo matatu: Mzini aliyeoa/kuolewa, uhai kwa uhai (kisasi cha kuua), na anayeacha dini yake akajitenga na umoja wa Waislamu."

Daraja: Sahihi