Usafi, Swala, Sadaka na Subira
Usafi, Swala, Sadaka na Subira
Kiarabu
عَنْ أَبِي مَالِكٍ الْحَارِثِ بْنِ عَاصِمٍ الأَشْعَرِيِّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم: «الطَّهُورُ شَطْرُ الإِيمَانِ، وَالْحَمْدُ لِلَّهِ تَمْلأُ الْمِيزَانَ، وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَالْحَمْدُ لِلَّهِ تَمْلآنِ -أَوْ تَمْلأُ- مَا بَيْنَ السَّمَاءِ وَالأَرْضِ، وَالصَّلاَةُ نُورٌ، وَالصَّدَقَةُ بُرْهَانٌ، وَالصَّبْرُ ضِيَاءٌ، وَالْقُرْآنُ حُجَّةٌ لَكَ أَوْ عَلَيْكَ، كُلُّ النَّاسِ يَغْدُو فَبَائِعٌ نَفْسَهُ فَمُعْتِقُهَا أَوْ مُوبِقُهَا».
Tafsiri ya Kiswahili
Kutoka kwa Abu Malik al-Harith bin Asim al-Ash'ari (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Mjumbe wa Allah amesema: "Usafi ni nusu ya Imani, na Al-hamdulillah inajaza mizani, na Subhanallah na Al-hamdulillah zinajaza kati ya mbingu na ardhi, na Swala ni nuru, na Sadaka ni uthibitisho, na Subira ni mwangaza unaong'aa, na Qur'ani ni hoja ya kukutetea au ya kukuangamiza. Kila mtu asubuhi anatoka kuiuza nafsi yake, ima akaikomboa au akaiangamiza."
English translation
On the authority of Abu Malik al-Harith bin 'Asim al-Ash'ari who said: The Messenger of Allah said: "Purity is half of faith, and Al-hamdulillah fills the scale, and Subhanallah and Al-hamdulillah fill that which is between heaven and earth. Prayer is light, charity is proof, patience is illumination, and the Qur'an is an argument for or against you. Every human being starts his day as a vendor of his soul, either freeing it or bringing about its ruin."
Maelezo
Hadithi hii Na. 23 ya Imam An-Nawawi inafundisha misingi mizito ya kiimani, kiroho na kimaadili inayompa Muislamu muongozo kamili maishani.
Faida
- Fundisho kuu la Hadithi ya 23 katika Al-Arba'in An-Nawawiyyah.
- Kufuata mwongozo sahihi wa Mtume Muhammad ﷺ na misingi ya Qur'ani.
- Kujenga maadili mema na ikhlasi katika kila nyanja ya maisha.
Jifanyie mazoezi
Ficha maneno kisha jaribu kusoma kutoka kichwani. Bonyeza neno lililofichwa ili kuliona.