Nyuma

Msamaha kwa Makosa, Kusahau na Kulazimishwa

Kisomo cha Kiarabu Kisomo Halisi cha Sheikh (MP3)

عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ: «إِنَّ اللَّهَ تَجَاوَزَ لِي عَنْ أُمَّتِي: الْخَطَأَ، وَالنِّسْيَانَ، وَمَا اسْتُكْرِهُوا عَلَيْهِ».

Kutoka kwa Ibn Abbas (Radhi za Allah ziwe juu yao) kwamba Mjumbe wa Allah amesema: "Hakika Allah ameusamehe umma wangu kwa ajili yangu: Kosa lililofanyika bila kukusudia, kusahau, na lile walilolazimishwa kulifanya bila hiyari yao."

On the authority of Ibn 'Abbas that the Messenger of Allah said: "Verily Allah has pardoned for me my ummah their mistakes, their forgetfulness, and that which they have been forced to do under duress."

Fundisho kuu la Hadithi ya 39 katika Al-Arba'in An-Nawawiyyah.

Kufuata mwongozo sahihi wa Mtume Muhammad ﷺ na misingi ya Qur'ani.

Kujenga maadili mema na ikhlasi katika kila nyanja ya maisha.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Hadithi 40 za An-Nawawi · Hadith Na. 39 (Al-Arba'in An-Nawawiyyah (Hadithi 40 za An-Nawawi) · Msamaha kwa Makosa, Kusahau na Kulazimishwa)
Daraja na Mpokezi:
Hasan · Imepokewa na Ibn Majah na Al-Bayhaqi
Mfasiri na Chanzo:
Tafsiri ya Kiswahili iliyohakikiwa · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
nawawi40:edition:39