عَنْ مُعَاوِيَةَ الْقُشَيْرِيِّ رضي الله عنه قَالَ: قُلْتُ: يَا رَسُولَ اللَّهِ، مَا حَقُّ زَوْجَةِ أَحَدِنَا عَلَيْهِ؟، قَالَ: «أَنْ تُطْعِمَهَا إِذَا طَعِمْتَ، وَتَكْسُوَهَا إِذَا اكْتَسَيْتَ، أَوِ اكْتَسَبْتَ، وَلَا تَضْرِبِ الْوَجْهَ، وَلَا تُقَبِّحْ، وَلَا تَهْجُرْ إِلَّا فِي الْبَيْتِ»
Kutoka kwa Muawia Al-Qushairi radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni zipi haki za mke wa mmoja wetu juu yake?, Akasema: "Ni umlishe pale unapokula, na umvishe unapovaa, au utakapopata kipato, na wala usipige uso, na wala usitoe maneno machafu, na wala usihame isipokuwa ndani ya nyumba".
Mu‘āwiyah al-Qushayri (may Allah be pleased with him) reported: I said: O Messenger of Allah, what is the right of the wife of any of us over him? He said: "To feed her when you eat, clothe her when you clothe yourself, or when you earn money, do not strike on the face, do not revile, and do not forsake except inside the house."
Pupa ya Maswahaba juu ya kutaka kujua haki zilizo juu yao na kuzitekeleza kwao kwa wengine, na kujua haki zao pia.
Uwajibu wa kutoa matumizi na mavazi na makazi kwa mwanamke juu ya mume wake.
Katazo la kutoa kasoro ya kimaumbile ima kwa maana au kwa wazi.
Katika machafu yaliyokatazwa ni kusema: Wewe unatoka katika kabila chafu, na unatoka katika familia mbaya, au mfano wa hayo.