رَبَّنَا وَلَكَ الْحَمْدُ، حَمْدًا كَثِيرًا طَيِّبًا مُبَارَكًا فِيهِ.
"Rabbanaa wa lakal-hamd, hamdan katheeran tayyiban mubaarakan feeh."
Mola wetu Mlezi, sifa njema zote ni Zako, sifa nyingi, zilizo nzuri na zenye baraka tele ndani yake.
Our Lord, to You is praise, an abundant, beautiful, and blessed praise.
Mtu mmoja alipoisoma nyuma ya Mtume ﷺ, Mtume alisema: Niliona malaika zaidi ya thelathini wakikimbilia kuwahi kuiandika mara moja.