فَسُبْحَانَ اللَّهِ حِينَ تُمْسُونَ وَحِينَ تُصْبِحُونَ وَلَهُ الْحَمْدُ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَعَشِيًّا وَحِينَ تُظْهِرُونَ
"Fa-subhaanallaahi heena tumsoona wa heena tusbihoon, wa lahul-hamdu fis-samaawaati wal-ardi wa 'ashiyyaw-wa heena tudh-hiroon."
Basi Mtakaseni Mwenyezi Mungu mnapoingia jioni na mnapoamka asubuhi; na sifa zote njema ni Zake mbinguni na ardhini, na alasiri na wakati wa adhuhuri.
So exalted is Allah when you reach the evening and when you reach the morning. And to Him is [due all] praise throughout the heavens and the earth and at night and when you are at noon.
Aya zenye fadhila ya kulipa dhikr zilizopotea wakati wa mchana na usiku.