يَا أَيَّتُهَا النَّفْسُ الْمُطْمَئِنَّةُ ارْجِعِي إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةً مَّرْضِيَّةً فَادْخُلِي فِي عِبَادِي وَادْخُلِي جَنَّتِي
"Yaa ayyatuhan-nafsul-mutma'innah, irji'ee ilaa Rabbiki raadiyatam-mardiyyah, fadkhulee fee 'ibaadee, wadkhulee jannatee."
Ewe nafsi iliyotua! Rejea kwa Mola wako Mlezi ukiwa umeridhika na umeridhiwa; basi ingia miongoni mwa waja Wangu, na ingia katika Pepo Yangu.
[To the righteous it will be said], 'O reassured soul, Return to your Lord, well-pleased and pleasing [to Him], And enter among My [righteous] servants And enter My Paradise.'
Ujumbe mtukufu wa utulivu wa roho wakati wa kutoka duniani na kupokelewa Peponi.