فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا إِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا
"Fa-inna ma'al-'usri yusraa, inna ma'al-'usri yusraa."
Basi hakika pamoja na dhiki kuna faraja; hakika pamoja na dhiki kuna faraja.
For indeed, with hardship [will be] ease. Indeed, with hardship [will be] ease.
Ahadi ya Mwenyezi Mungu kuwa hakuna dhiki inayodumu; kila jaribu linafuatiwa na wepesi wawili.