قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ مَلِكِ النَّاسِ إِلَٰهِ النَّاسِ مِن شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ
"Qul a'oodhu bi-Rabbin-naas, Malikin-naas, Ilaahin-naas, min sharril-waswaasil-khannaas, alladhee yuwaswisu fee sudoorin-naas, minal-jinnati wan-naas."
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa watu; Mfalme wa watu; Mungu wa watu; na shari ya mwenye kutia wasiwasi anayerudi nyuma; anayetia wasiwasi katika vifua vya watu; miongoni mwa majini na watu.
Say, 'I seek refuge in the Lord of mankind, The Sovereign of mankind. The God of mankind, From the evil of the retreating whisperer - Who whispers into the breasts of mankind - From among the jinn and mankind.'
Ulinzi wa mwisho dhidi ya wasiwasi wa kiibilisi katika fikra na nyoyo.