قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ اللَّهُ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ
"Qul Huwallaahu Ahad, Allaahus-Samad, lam yalid wa lam yoolad, wa lam yakul-lahoo kufuwan ahad."
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni Mmoja tu; Mwenyezi Mungu Mwenye kutegemewa na viumbe vyote; Hakuzaa wala hakuzaliwa; Wala hana anayefanana Naye hata mmoja.
Say, 'He is Allah, [who is] One, Allah, the Eternal Refuge. He neither begets nor is born, Nor is there to Him any equivalent.'
Inalingana na theluthi moja ya Qur'ani kwa uzito na ubora wa tauhidi.