رَبَّنَا وَأَدْخِلْهُمْ جَنَّاتِ عَدْنٍ الَّتِي وَعَدتَّهُمْ وَمَن صَلَحَ مِنْ آبَائِهِمْ وَأَزْوَاجِهِمْ وَذُرِّيَّاتِهِمْ إِنَّكَ أَنتَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ
"Rabbanaa wa adkhilhum jannaati 'adninil-latee wa'attahum wa man salaha min aabaa'ihim wa azwaajihim wa dhurriyyaatihim, innaka Antal-'Azeezul-Hakeem."
Mola wetu Mlezi! Na uwaingize katika Bustani za Milele (Pepo) ulizowaahidi, na wale waliokuwa wema miongoni mwa wazazi wao na wenza wao na vizazi vyao; hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hekima.
Our Lord, and admit them to gardens of perpetual residence which You have promised them and whoever was righteous among their forebears, their spouses and their offspring. Indeed, it is You who is the Exalted in Might, the Wise.
Malaika wanawaombea waumini wakutane pamoja na familia zao zote zilizotenda mema ndani ya Pepo ya Firdausi.