رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا
"Rabbanaa hab lanaa min azwaajinaa wa dhurriyyatinaa qurrata a'yunin waj'alnaa lil-muttaqeena imaamaa."
Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na wanetu watulizo la macho, na utujaalie tuwe viongozi kwa wacha-Mungu.
Our Lord, grant us from among our wives and offspring comfort to our eyes and make us an example for the righteous.
Dua adhimu ya kutafuta utulivu wa ndoa, watoto wenye maadili mema na hadhi ya uongozi wa kiuchaji Mungu.