رَبَّنَا إِنَّنَا نَخَافُ أَن يَفْرُطَ عَلَيْنَا أَوْ أَن يَطْغَىٰ
"Rabbanaa innanaa nakhaafu ay-yafruta 'alaynaa aw ay-yatghaa."
Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tunaogopa asije akatupindukia mipaka au akafanya jeuri.
Our Lord, indeed we are afraid that he will hasten [punishment] against us or that he will transgress.
Dua ya Nabii Musa na Harun walipotumwa kwa Firauni; Mwenyezi Mungu aliwajibu: 'Msiogope, Hakika Mimi niko pamoja nanyi'.