رَبَّنَا اغْفِرْ لِي وَلِوَالِدَيَّ وَلِلْمُؤْمِنِينَ يَوْمَ يَقُومُ الْحِسَابُ
"Rabbanaghfir lee wa li-waalidayya wa lil-mu'mineena yawma yaqoomul-hisaab."
Mola wetu Mlezi! Nighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, na Waumini wote, Siku itaposimama Hesabu.
Our Lord, forgive me and my parents and the believers the Day the account is established.
Moja ya dua bora zaidi za kuwatendea wema wazazi na kuwaombea Waislamu wote maghfirah.