رَبَّنَا مَا خَلَقْتَ هَٰذَا بَاطِلًا سُبْحَانَكَ فَقِنَا عَذَابَ النَّارِ
"Rabbanaa maa khalaqta haadhaa baatilan subhaanaka faqinaa 'adhaaban-naar."
Mola wetu Mlezi! Hukuviumba hivi bure; Utukufu ni Wako, basi utukinge na adhabu ya Moto.
Our Lord, You did not create this aimlessly; exalted are You [above such a thing]; then protect us from the punishment of the Fire.
Dua ya Ulul-Albab (wenye akili timamu) wanapotafakari uumbaji wa mbingu na ardhi usiku.