سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ، أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَ.
"Subhaanakallaahumma wa bi-hamdika, ash-hadu allaa ilaaha illaa Anta, astaghfiruka wa atoobu ilayk."
Umetakasika Ewe Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zako, ninashuhudia kwamba hapana mola ila Wewe, ninakuomba msamaha na ninatubu Kwako.
Glory be to You, O Allah, and praise. I bear witness that there is no god except You, I seek Your forgiveness and repent to You.
Inafuta makosa, maneno yasiyofaa na upuuzi wote uliozungumzwa katika kikao chochote kabla ya kuinuka.