أَسْتَغْفِرُ اللَّهَ الَّذِي لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ الْحَيَّ الْقَيُّومَ وَأَتُوبُ إِلَيْهِ.
"Astaghfirullaahal-ladhee laa ilaaha illaa Huwal-Hayyal-Qayyooma wa atoobu ilayh."
Namwomba msamaha Mwenyezi Mungu ambaye hapana mola ila Yeye, Aliye Hai daima, Msimamia kila kitu, na ninatubu Kwake.
I seek forgiveness of Allah, other than whom there is no god, the Ever-Living, the Sustainer, and I repent to Him.
Mtume (s.a.w) alisema: Mwenye kuisoma atasamehewa madhambi yake hata kama alikimbia uwanja wa mapambano.