سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، وَتَبَارَكَ اسْمُكَ، وَتَعَالَى جَدُّكَ، وَلَا إِلَهَ غَيْرُكَ.
"Subhaanakallaahumma wa bi-hamdika, wa tabaarakas-muka, wa ta'aalaa jadduka, wa laa ilaaha ghayruk."
Umetakasika Ewe Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zako, na limetukuka Jina Lako, na umetukuka Utukufu Wako, na hapana mungu mwingine asiyekuwa Wewe.
Glory is to You, O Allah, and praise. Blessed is Your name, exalted is Your majesty, and there is no god other than You.
Inasomwa mwanzoni mwa swala baada ya Takbiratul-Ihram kabla ya kusoma Al-Fatihah.