الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي عَافَانِي مِمَّا ابْتَلاَكَ بِهِ، وَفَضَّلَنِي عَلَى كَثِيرٍ مِمَّنْ خَلَقَ تَفْضِيلاً.
"Alhamdu lillaahil-ladhee 'aafaanee mimmab-talaaka bih, wa fadh-dhalanee 'alaa katheerim-mimman khalaqa tafdheelaa."
Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye ameniepusha na yale aliyokutahini nayo, na akanifadhilisha juu ya wengi katika aliowaumba kwa ubora mkubwa.
Praise be to Allah Who has spared me from that with which He tested you, and favored me over much of what He created.
Mtu anayeisoma kwa siri anapomwona mtu mwenye tatizo basi yeye binafsi ataepushwa na mtihani huo maisha yake yote.