لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ، يُحْيِي وَيُمِيتُ، وَهُوَ حَيٌّ لاَ يَمُوتُ، بِيَدِهِ الْخَيْرُ، وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ.
"Laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shareeka lah, lahul-mulku wa lahul-hamd, yuhyee wa yumeet, wa Huwa hayyun laa yamoot, biyadihil-khayr, wa Huwa 'alaa kulli shay'in Qadeer."
Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja pekee hana mshirika; ufalme ni Wake na sifa njema zote ni Zake; Yeye ndiye Ahuishaye na Afishaye, Naye Yu Hai hafi kamwe; mkononi Mwake mna kheri yote, Naye juu ya kila kitu ni Mwenye uwezo mkubwa.
None has the right to be worshipped except Allah alone, without partner; to Him belongs the dominion and praise...
Mwenye kuisoma anapoingia sokoni anaandikiwa mema milioni moja (1,000,000), anafutiwa madhambi milioni moja, na anainuliwa daraja milioni moja Peponi.