Rudi kwenye hadith
RAMANI YA MAARIFA

Sahih al-Bukhari · Na. 386

Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali na viatu vyake? akasema: ndio

Kitabu Mlango Mada Hadith inayofanana

Mada zinazohusiana

Tawhid na Misingi ya ImaniKupendana kwa Ajili ya Allah na UduguSadaka, Huruma na Wema

Hadith zinazofanana

Sahih al-Bukhari · Na. 386 100%

Kutoka kwa Maslama Saidi bin Yazid amesema: nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake- akiswali na vi...

nilimuulizaakiswalimaslamasaidiyazidmalik

Linganisha na hii

Ufanano huu unategemea maneno yanayoshirikiana tu. Si hukumu ya kielimu kuhusu maana au daraja la hadith.

Isnad na wasifu wa wapokezi

Data ya wapokezi (isnad) bado haijaongezwa kwenye Bayt Ul Hadith. Itaonekana hapa pindi itakapopatikana kutoka chanzo kinachoaminika, kwa marejeo kamili.